Leo tutakua tunaelekezana jinsi ya kutengeneza wigi ambalo ni la mawimbi, hili ni wigi ambalo linakua kubwa ukishalichambua. process ya kulitengeneza hili wigi ni rahisi sana na kila mtu anaweza kulitengeneza and unaweza kutumia weaving ya aina yoyote yenye mawimbi sio lazima iwe human hair inaweza ikawa weaving la synthentic, weaving la aina yoyote litafaaa kutengeneza wigi hili.
Credit: Julianarobertsm
Comments
Post a Comment